Karibu Digital Financial Bridge (DFB) - Duka la Uwakala Lililopo Tandika Sokoni Mtaa wa Chihota kwa Huduma za Kifedha
Posted: Tue Dec 10, 2024 1:54 pm
by Eli
Karibu katika duka letu la Uwakala, Digital Financial Bridge (DFB), lililopo Tandika Sokoni. Tunatoa huduma za miamala ya simu kwa mitandao yote ikiwemo:
Tigo Pesa
Airtel Money
M-Pesa
Halo Pesa
T-Pesa
Azam Pesa
Pia, tunatoa huduma za miamala ya benki mbalimbali kama vile:
Absa
Access Bank
Amana
ACB
Azania
PBZ
BOA
TCB
EcoBank
EXIM
DTB
Mkombozi
Maendeleo
Equity
NBC
CRDB
NMB
Tunapatikana Tandika Sokoni, takribani mita 20 upande wa kushoto ukitokea Stendi ya Daladala ya Mbezi kuelekea Kituo cha Polisi. Tunapakana na Msikiti wa Chihota.