Page 1 of 1

Kitabu cha Maombolezo ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Mhe. John Pombe Joseph Magufuli

Posted: Sun Mar 21, 2021 10:15 am
by Eli
Ofisi ya Rais - TAMISEMI imeandaa kitabu cha maombolezo ya  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Mhe. John Pombe Joseph Magufuli kwa njia ya mtandao ili kuuwezesha umma kusaini kitabu hicho.



Source: TAMISEMI