Page 1 of 1

OFISI YA RAIS MENEJIMENTI YA UTUMISHI WA UMMA NA UTAWALA BORA - Orodha ya Watumishi wa Umma wenye vyeti vya kughushi

Posted: Sun Apr 30, 2017 4:59 pm
by Eli
:fearful: :grimacing:

Briefly:

The president of Tanzania has ordered the immediate dismissal of more than 9,932 civil servants after a nationwide verification of academic credentials uncovered workers with forged school and college certificates.

Elected in October 2015, John Magufuli has also dismissed several senior officials, including the head of the government’s anti-corruption body, the tax chief, a senior rail official and head of the port authority as part of a wider anti-corruption drive. Full stroy.

OFISI YA RAIS MENEJIMENTI YA UTUMISHI WA UMMA NA UTAWALA BORA imetoa orodha ya watumishi wa umma wanaodaiwa kuwa na vyeti vya kughushi. Takribani wafanyakazi 9,932 walibainika kuwa na vyeti feki. Hata hivyo Rais Magufuli ametoa muda kwa wenye vyeti hewa kuachia nafasi zao kwa maana wanajijua na kuagiza majina yao kutangazwa magazetini. Rais aliongeza kuwa wale watakaoachia nafasi zao kwa hiari, watasamehewa, lakini wale ambao hawataondoka hadi kufikia Tarehe 15 Mei 2017, watakamatwa na kufikishwa mahakamani.



Pia ameagiza kuwa wafanyakazi 1538 ambao vyeti vyao vina utata kwa maana kuwa vinatumiwa na mtu zaidi ya mmoja, wasipewe mshahara mwezi huu na uchunguzi ufanyike kubaini ni nani mwenye cheti halali. Ameongeza kuwa hata wale 1538 wanaojijua kuwa hawana vyeti halali wajiondoe wenyewe mapema.

Angalia orodha ya majina iliyoambatanishwa hapa.

Re: OFISI YA RAIS MENEJIMENTI YA UTUMISHI WA UMMA NA UTAWALA BORA - Orodha ya Watumishi wa Umma wenye vyeti vya kughushi

Posted: Tue May 09, 2017 11:34 am
by Eli
Here again, the list of government employees (civil servants) who during verification exercise, submitted incomplete school certificates: