• Active Topics 

Telegram Channels

Post Reply
RealityKing
Senior Expert Member
Reactions: 26
Posts: 163
Joined: 7 years ago
Has thanked: 10 times
Been thanked: 14 times

#1

Telegram imekuja na mbinu nzuri na bora zaidi (Telegram channels zimekuwepo tangu 2015) ya mawasiliano ambayo ni channels. Telegram channel inakuwa na url ya kudumu kama vile http://www.tssfl.com. Telegram channels zinaweza kuwajumuisha watu mbalimbali kutoka popote pale duniani kama ilivyo WhatsApp na networks zingine, lakini kitu kimoja kizuri sana kuhusu Telegram channels ni privacy.

Soma zaidi:

Telegram F.A.Q. https://telegram.org/faq#q-how-is-teleg ... m-whatsapp

Channels: Broadcasting Done Right: https://telegram.org/blog/channels

Nilikuwa nasearch nikagundua channels kadhaa za kiswahili na za kitanzania, ambazo zinaweza kuwa na manufaa kwa wadau mbalimbali, baadhi ya channels hizo ni:

1. https://t.me/BiasharaHuria ambayo ni channel ya kuwakutanisha watu kwa ajili ya kutangaza huduma/biashara au kutangaza huduma/bidhaa unayohitaji. Hii itawasaidia watu kujiajiri na kufanya biashara kiurahisi sana hasa vijana ambao ni freelancers.

2. https://t.me/walimuTz - kwa ajili ya mijadala mbalimbali ihusuyo walimu na kazi zao

3. https://t.me/Wanafunzi - kwa ajili ya wanafunzi na mijadala mbalimbali ya kitaaluma, kama namna bora za kusoma na mbinu za kufaulu mitihani

Channels zingine ni

https://t.me/Wanazuoni

https://t.me/Wakufunzi

Kwa wapenda movies, kazi kwenu: https://t.me/TheMovieChannel

Telegram ina lundo la public channels ambazo ukizitumia vizuri utafaidika nazo. Tumia teknolojia kwa maendeleo na faida yako, jamii yako na Taifa kwa ujumla.

Nitaendelea kuweka channels zingine bora kwa kadri nitakavyozipata.

Updates:

You can use the Telegram Channel catalog below to search and discover unlimited number of channels:

https://tchannels.me/

You can as well find recommendations about various Telegram groups that may interest you at the below Quora thread:
https://www.quora.com/Where-can-I-find- ... ram-groups
1
1 Image
Post Reply

Return to “Other Community-Based Discussions”

  • Information
  • Who is online

    Users browsing this forum: No registered users and 0 guests