Serikali ya Tanzania Yatangaza kulipa Madeni ya Wafanyakazi Mwishoni February 2018, Yatoa Majina ya Wanaostahili kulipwa
Posted: Fri Feb 09, 2018 8:08 pm
Serikali kupitia waziri Mpango imetangaza na kutoa majina ya wafanyakazi wanaostahili kulipwa madai yao mbalimbali. Kwa mjibu wa msemaji huyo, madai hayo ya wafanyakazi mengine yamedumu kwa zaidi ya miaka 10.
Haya ndiyo majina ya watakaolipwa: http://www.mof.go.tz/docs/news/WANAOSTA ... 0MADAI.pdf
Sikiliza:
Haya ndiyo majina ya watakaolipwa: http://www.mof.go.tz/docs/news/WANAOSTA ... 0MADAI.pdf
Sikiliza: