• Active Topics 

North Korea itafanyiwa kitu na USA na haitakuja kusahau!

Post Reply
RealityKing
Senior Expert Member
Reactions: 26
Posts: 163
Joined: 7 years ago
Has thanked: 10 times
Been thanked: 14 times

#1

U.S. Pacific Command:



"U.S. forces hope and work for peace in #Korea, yet none should doubt America’s resolve to defend our allies should diplomacy fail."

Image

Imekuwa muda sasa tangu Kim aanze kuisumbua na kuitishia Marekani pamoja na washirika wake, Korea Kusini na Japan, na amevumiliwa kwa muda wa kutosha. Kuna juhudi za kukabiliana na NK zinazofanywa na Marekani kwa kushirikiana na wafuasi wake, na kuna juhudi ambazo Marekani inafanya yenyewe binafsi kimyakimya bila kushirikisha washirika.

Marekani ina watu wenye akili sana (sio kwamba sisi hatuna watu wenye akili) na ni taifa ambalo lina 'elites' wengi mno. Hao elites wamefanya na kufanikisha mambo mengi yanayohitaji maarifa, ujuzi na akili za hali ya juu. Ukizingatia uwezo wa Taifa la Marekani karibu katika kila nyanja, huku likiwa na watu ambao ni "dedicated" kwa maslahi ya Taifa kuanzia kwenye kuweka mikakati ya kupambana au kufanya jambo, mpaka utekelezaji wake kwa kutumia sayansi na teknolojia ya hali ya juu, ninaamini kwa asilimia kubwa kuwa mikwara ya Kim na majigambo yake mwisho wake ni utawala wa Donald. Trump alisema "All options are on the table"; ingawa mara nyingi huonekana kama mtu wa mikwara na vitisho, lakini fuatilieni, Kim hataachwa na utawala wa Trump.

Kati ya mambo ambayo NK inaweza kufanyiwa na Marekani - yaani baadhi ya options zao, zinaweza kuwa kama hizi:

0. Kupigwa kwa kutumia nuclear, sio kutokea juu, bali undeground nuclear blast. Nuclear weapons kuwa triggered kutokea ardhini kuja kwenye surface. Nahisi wanaweza kutengeneza tunnel kutokea SK kwenda NK na kutega nukes chini kwa chini.

1. Kupigwa kwa kushtukizwa halafu kwa mfululizo na kudisarm/dismantle weapons zake, hapo hatarusha wala kutungua mjusi wala panzi, itakuwa ni mwendo wa kukimbiana tu wanajeshi wa NK.

2. Kupigwa kwa silaha za kibayolojia au kwa kimbunga cha kutengeneza "kama kile cha Haiti - hapa naongelea possibility (Could the Earthquake in Haiti be man made, the answer is Yes)" - au kupelekewa maafa yoyote ya kibinadamu. Baada ya kupigwa na janga kwa lengo la "kuidestabilize", NK itashindwa kujimudu kiasi cha kutaka msaada kutoka kwa yeyote hata US yenyewe. Hapo USA itaengineer majasusi ambao watajifanya kama watoa misaada. Hiyo itatoa mwanya wa kuichunguza NK kijeshi na kutafuta njia ya kukabiliana nayo ikiwezekana kuimaliza kijeshi hata ndani ya muda ikiwa bado imekumbwa na janga.

3. Kumuua kwa kutumia majasusi. Majasusi wanaweza kuwa wa kulipwa au wamarekani wenyewe. Hapa ni kwamba USA itatoa hela ndefu sana kama motisha (ingawa wanadai hawakumlipa OSAMA baada ya kumaliza kazi yake Russia na ndio ikawa chanzo cha ugomvi) kwa majasusi, na kama unavyojua kati ya watu ambao huwa hawataki kushindwa kitu ni majasusi. Assassins wanaweza kuwa ni watu ndani ya NK wasiompenda Kim na wakalipwa pesa pia.

Recap:

Four Iranian nuclear scientists—Masoud Alimohammadi, Majid Shahriari, Darioush Rezaeinejad and Mostafa Ahmadi Roshan—were assassinated between 2010 and 2012. Another scientist, Fereydoon Abbasi, was wounded in an attempted murder. Two of the killings were carried out with magnetic bombs attached to the targets' cars; Darioush Rezaeinejad was shot dead, and Masoud Alimohammadi was killed in a motorcycle-bomb explosion. The Iranian government accused Israel of complicity in the killings. In 2011 and 2012, Iranian authorities arrested a number of Iranians alleged to have carried out the assassination campaign on behalf of Mossad (the Israeli intelligence service). Western intelligence services and U.S officials reportedly confirmed the Israeli connection. In June 2012, the Iranian government was confident that it had arrested all the assassins.

Israel has neither confirmed nor denied its involvement, but Israeli defence minister Moshe Ya'alon said: "We will act in any way and are not willing to tolerate a nuclear-armed Iran. We prefer that this be done by means of sanctions, but in the end, Israel should be able to defend itself." The assassination campaign was reportedly terminated in 2013 following diplomatic pressure from the United States, which was attempting to negotiate restrictions on Iran's nuclear activities.

Reference: https://en.wikipedia.org/wiki/Assassina ... scientists

Jiulize kama waIran walijua au hawakujua huu mpango?

4. Kutengeneza mgogoro na uasi (kumbuka kuna watu anawaexecute kila leo: Hundreds executed by North Korea's Kim Jong Un since coming to power - CNN) NK dhidi ya Kim, unaweza kudhani ni jambo lisilowezekana, lakini hii pia ni potential option.

5. Marekani kufanya jambo lisiloeleweka, ambalo mimi, wewe na Kim hatutalielewa na NK kujikuta ikilipukiwa na Nukes zake.

6. Options zingine wanazo Trump (Trump, CIA, FBI, Illuminati, etc.,).

Maneno, mikwara na siasa anazofanya Trump ni chai za kwaida kwenya uongozi ili kuwafanya wananchi na watu wengine kuona kwamba angalau kuna hatua Rais anachukua, lakini kusema ukweli mikakati halisi mara nyingi ni tofauti kabisa na reactions za viongozi kama Trump ambazo hugeuka kuwa kivutio kwa public.

7. USA kusitisha biashara na China, ambapo China ndio munufaika mkubwa ili kuipa presha China kumshughulikia Kim. Kuona hii ikitokea ina atahari gani, jaribu kusoma kwa makini mjadala huu: https://www.quora.com/What-would-happen ... a-tomorrow

Kama Trump atamwacha Kim basi mgogoro wa USA na NK ni fiction.

Maelezo ya ziada kufuatia hoja kuwa NK imetengeneza H-bomb.

Jambo la kwanza unalotakiwa kuelewa, sio ukishakuwa na H-bomb au nuclear bomb basi unaweza kulitumia kumpiga adui kirahisi, inahitaji a series of serious testings:

How do nuclear weapons work?

Nuclear weapons trigger an explosive reaction that shears off destructive energy locked inside the bomb’s atomic materials.

The first atomic weapons, like those dropped by the United States on the Japanese cities of Hiroshima and Nagasaki in World War II, did that with fission — splitting unstable uranium or plutonium atoms so that their subatomic neutrons fly free, smash up more atoms and create a devastating blast (Tunapoongelea nukes, usidhani effect yake ni kama rifle: Who wins, in a war between USA and Russia?).

What is a hydrogen bomb?

Hydrogen bombs, or H-bombs use fusion, the same process that powers the sun.
In a hydrogen (thermonuclear) bomb, "heavy" isotopes of hydrogen are forced together to release a much bigger punch -- hundreds or even thousands of times more powerful than the only nuclear weapons that have been used in warfare.
Atomic bombs use a process called fission. They split plutonium and/or uranium into smaller atoms in a chain reaction that releases massive amounts of energy.
Plutonium bombs tend to involve fairly large devices. Early nuclear weapons, such as the "Fat Man" device dropped on Nagasaki in 1945 -- which weighed around 4,700 kilograms and was a meter and a half in diameter -- were "much too large to place on a ballistic missile," according to weapons expert Jeffrey Lewis.
Miniaturizing any type of nuclear bomb so it can fit on top of an ICBM involves delicate balance between making the device smaller and not sacrificing eventual payload, which requires a lot of testing to ensure the smaller warhead is still capable of producing a devastating explosion.

How is a hydrogen bomb different?

A hydrogen bomb, also called a thermonuclear bomb or an H-bomb, uses a second stage of reactions to magnify the force of an atomic explosion.

NK sixth nuclear test

Sunday's test comes almost one year to the day of the fifth nuclear test, which was determined to have a yield of 10 kilotons.
Independent seismic monitor NORSAR estimates the latest one had a yield of as much as 120 kilotons. An official at the Korea Meteorological Administration said it was closer to 50.

Either way, it was much bigger than all previous tests and shows increasing ambition in North Korea's nuclear program.
The test follows a dramatic surge in missile testing this year. It almost certain now that the country could send a ballistic missile to other continents, many experts have said.
Pyongyang claims its intercontinental ballistic missile (ICBM) could even reach the US mainland-- but that claim needs to be treated with a degree of caution.

Can North Korea's ICBM's reach their targets?

Having an ICBM does not mean a country can deliver any payload it wants.
Designing and building an effective intercontinental ballistic missile (ICBM), one that can not only fly the required range but also have any likelihood of hitting its target, is incredibly difficult in itself.
North Korea has tested its missiles on an upward trajectory. Some experts have assumed that if it can fly a certain distance upwards, firing it at a different angle could see it reach other continents.
But it's a little more complicated than that.

An ICBM is guided by a succession of rockets, which launch the missile thousands of kilometers into the atmosphere and then around the globe, before a re-entry vehicle guides the warhead down toward its target.
Some of the missile tests have failed the re-entry process, that is, they are destroyed as they come back down and re-enter the Earth's atmosphere to hit their targets.

"If you think of a space vehicle re-entering the Earth's atmosphere, they have heat protectors to stop it from burning up inside. The speed at which a missile comes through the atmosphere creates an enormous amount of air pressure and heat," Says Martin Navias from the Center for Defense Studies at Kings College London.

Each stage of that process is incredibly involved and requires intense testing to get right. Even North Korea's very active missile program took almost two decades from when it first began testing long-range rockets tohaving an apparently functional ICBM.
Once the warhead is small enough to not affect the ICBM's range, another key question remains.

Lewis asks: Can the nuclear weapon survive the shock, vibration and temperature changes associated with ballistic missile flight?

The only way to answer that question is with yet more testing, ensuring that the missile itself, the nuclear device, and the re-entry vehicle all work correctly, and are still working by the time they get to their target.

More details:

A vehicle that can survive re-entry

It’s relatively easy to get a vehicle into space but very difficult to bring it down.

The main problem for North Korea is developing a missile warhead that can withstand the fiery heat and great violence of atmospheric re-entry.

The forces at work are enormous. A warhead fired into the void of outer space by an intercontinental ballistic missile falls back to Earth at speeds of roughly four miles a second. Intense friction with the planet’s thick blanket of air produces waves of blistering heat. A badly engineered warhead will burn up long before hitting its target.

Hit the right place


North Korea’s aim is famously poor, and accurately directing a long-range missile that throws warheads halfway around the world is extraordinarily challenging.

Highly advanced states that have worked on the problem for decades can launch ICBMs whose warheads will hit target areas roughly 200 meters wide – “an astonishing technical achievement,” says Donald MacKenzie, author of “Inventing Accuracy.”

One estimate for North Korea, based on the accuracy of other first-generation ICBMs, ranges between three and five kilometers, or about two to three miles. The true accuracy is impossible to determine because the North’s warheads usually fall into the sea, and outside experts know little about its intended targets.

Even so, “that’s good enough if you’re aiming at a city,” said Ian Williams, a missile defense expert at the Center for Strategic and International Studies. But it would probably be insufficient to reliably take out a hardened target like a military installation, he said.

Analysts say North Korea appears to be working toward leaner, more accurate designs for its missile warheads. It currently appears to use a blunt re-entry vehicle that is relatively easy to make but slower and less accurate than the pointy models of advanced states.

Nimeongezea melezo ili wala nguruwe wa NK (Kim na wafuasi wake) wasome na kuja angalau na hoja za maana.

NB, USA:

- Deployed first atomic bomb in 1945 ( sio kutengeneza bali kulitumia na kuleta madhara) na ana first-generation missiles

- Amefanikiwa kuisarambaratisha Russia (Russia ya leo sio kama ya zamani, imegawanyika mataifa kadhaa kwa sababu ya fitna za USA)

- Amempiga Saddam (Watu walibisha sana kuwa Saddam hawezekaniki, kwamba ana silaha zote hatari kutoka Urusi)

- Ameisambaratisha Libya (Sio kitu kizuri lakini ndio ukweli)

- Amechonganisha waarabu na kuwaacha wakipigana na kuuana wenyewe kama wanyama wa mwituni

- Amemuwinda na kumkamata OSAMA bin Laden (Wabishi watasema yupo hai)

- Kiboko ni ally wao Israel kupambana na mataifa karibu yote ya kiarabu na bado anaibuka kidedea (Israel kanchi kadogo sana)

Anyway, USA sio mtu mzuri lakini duniani lazima pawepo na mbabe na kwa sasa ni yeye, sasa utafanyaje?

Image
0
User avatar
Eli
Senior Expert Member
Reactions: 183
Posts: 5211
Joined: 9 years ago
Location: Tanzania
Has thanked: 75 times
Been thanked: 88 times
Contact:

#2

0
TSSFL -- A Creative Journey Towards Infinite Possibilities!
Post Reply

Return to “World News & Politics”

  • Information
  • Who is online

    Users browsing this forum: No registered users and 1 guest