• Active Topics 

Karibu Open Discussion Forums

User avatar
Eli
Senior Expert Member
Reactions: 183
Posts: 5211
Joined: 9 years ago
Location: Tanzania
Has thanked: 75 times
Been thanked: 88 times
Contact:

#1

If you are an English audience, go here.

Open Discussion Forums ni mtandao ulioundwa kwa madhumuni ya kuwakutanisha na kuwaunganisha watu wa kada mbalimbali kwa ajili ya kujadili mambo mbalimbali kwa lengo la kujenga maarifa, kubadilishana uzoefu, kukuza uelewa, kuongeza kiwango cha ujuzi, kufanya uvumbuzi/ugunduzi, kukuza fikira, kushirikiana katika kutafuta ufumbuzi wa kisayansi juu ya changamoto mbalimbali, kupeana mbinu bora na za kisasa za kiutendaji na utoaji huduma, kusaidia kuboresha elimu na kutumia maarifa na elimu hiyo kutatua changamoto mbalimbali zinazoikabili jamii. Kwa kifupi, Open Discussion Forums ni mtandao huru wa kuelimishana kwa ajili ya watu wa rika zote huku ukitilia mkazo matumizi ya elimu kama suluhu ya matatizo mbalimbali katika jamii.

Mtu yeyote anaweza kujiunga bure na kuanzisha mada yoyote. Kuna majukwaa mengi, karibu kwa kila nyanja na ngazi, kuanzia Sciences, Arts, Engineering, Humanities hadi michezo, habari, dini, nk. Open Discussion Forums ipo chini ya kampuni inayoitwa Tanzania Students and Scholars Foundation Limited - TSSFL. TSSFL imesajiliwa tangu mwaka 2012 na BRELA chini ya sheria ya mwaka 2002 ya uanzishwaji wa makampuni nchini Tanzania. TSSFL ilianzishwa kwa mrengo au mtazamo kwamba, Elimu lazima itumike kutatua matatizo mbalimbali ya kijamii na kuleta mapinduzi katika utoaji wa huduma na utendaji kazi. Soma hapa pia.

Soma zaidi kuhusu Open Discussion Forums:

New: Just like WhatsApp or Telegram chats but on the web: OpenChat and Open D Village for registered members only

Unaweza pia kuangalia kuhusu TSSFL kwenye database ya Opencorporates

Baadhi ya mambo ambayo unaweza kufanya ukiwa Open Discussion Forums ni pamoja na

- Unaweza kuandika formula za hesabu na zingine za kisayansi

* check complex maths equations and maths problems and solutions

*MathJax

* Statistics

-Visual maths:

*Graphing

- Unaweza kupost code (program) iliyoandikwa kwa language yoyote kwa kutumia syntax highlighting function: Coding

- Unaweza kutumia live excel spreadsheet kufanya data analysis, computations au kwa ajili ya collaborative work

* Excel Calendar

* Excel Spreadsheet

- Unaweza kupost picha na graphics za aina yoyote

* Images

* Cosmos

- Unaweza kupost animated graphics: Plotly

- Unaweza kutengeneza tables: Tables

- Unaweza kupost mada na kuzua au kuanzisha mijadala: Who is Jesus?

- Unaweza kuuliza swali au kujibu swali

* The most amazing maths equation!

* Calculus

- Unaweza kupost mada kwa lengo la kufundisha wengine:

* Code-syntax-highlighting

* Solve ODE using R

- Unaweza kudownload vitabu na materials mbalimbali: TSSFL Library

- Unaweza kuupload au kupost video kirahisi kwa kukopi na kupaste url

* GIS

* zip, lambda and map Python functions

- Unaweza kuangalia movie:

a-renewed-jet-li-action-movie-fist-of-legend-6113

- Unaweza kupost habari

* News

*Valuable News

- Unaweza kuangalia live (live streaming) TV, mfano

france-24-tv-english-hd-live-streaming-5316

- Unaweza kushare topic yoyote Facebook, G+, WhatsApp, Telegram, nk.

- Unaweza kupost picha kutoka mtandao mwingine bila kudownload na kuupload: Share photos

- Unaweza kuchat live na members ambao wapo online (Open D Broadcasting), kutuma Private Messages au email(s) kwa member yoyote

- Unaweza kuandika ujumbe kwa kutumia emojis za aina mbalimbali zinazovutia zaidi kuliko za WhatsApp: emojis

- Unaweza kushare picha za matukio mbalimbali, za watu au vitu, kuanzisha mijadala mbalimbali ya kijamii, nk.

* Community Center

* Photo Bucket

- Unaweza kuja na wazo la project na kuwashirikisha wanachama wengine au kutengeneza timu ya kufanikisha hiyo project: Robotics

- Unaweza kufanya na kufaidika na mambo mengine mengi kama vile kulike, hate posts au thank posters

-Kupiga kura:

*Check this post

Mitandao mingine ambayo ipo chini ya TSSFL ni pamoja na

- LiveChats

- e-Learning (Moodle-based LMS)

-Open Educational Resources
0
TSSFL -- A Creative Journey Towards Infinite Possibilities!

Return to “Welcome To TSSFL Technology Stack and Get Started”

  • Information
  • Who is online

    Users browsing this forum: No registered users and 1 guest