• Active Topics 

Jinsi Malezi na Matendo ya Single Mothers Yanavyoharibu Watoto Wao wa Kiume

Post Reply
RealityKing
Senior Expert Member
Reactions: 26
Posts: 163
Joined: 7 years ago
Has thanked: 10 times
Been thanked: 14 times

#1

Kwa ufupi:

Single motherhood sio mpango wa Mungu, hajawahi kusema popote wala kukubaliana na aina hii ya malezi. Natambua wanawake wenye utu, adabu, bidii na nidhamu katika kulea watoto wao, lakini mtoto kukua kwa malezi ya mama peke yake kuna mambo ambayo huyakosa, na katika hili wanaoathirika zaidi ni watoto wa kiume. Katika jamii, kuna tabia nyingi za ajabuajabu ambazo watu wanazo hata kama walilelewa na wazazi wote wawili, matokeo ya tabia hizi kwa kiasi kikubwa ni malezi hafifu/mabaya/duni kwa sababu ya udhaifu wa mwanaume au athari za kimazingira.

Mada hii inaongelea athari za malezi ya mama pekee kwa mtoto wa kiume.

Jiulize maswali haya:

1. Akina mama kwa jinsi walivyoumbwa mara nyingi wakipata shida, wakati mwingine ni ndogo na inaweza kutatulika kirahisi, hulia, tena mbele ya watoto wao, na kitendo cha kulia pengine hutokana na wao kuona kwamba kama baba wa watoto wangekwepo wasingepata hizo shida, je, mtoto wa kiume anajifunza nini? Atakuwa jasiri na kuwa na uwezo wa kukabiliana na shida ngumu maishani?

2. Biblia inaposema enyi wanaume ishini na wanawake kwa akili haikukosea kwa sababu Mungu anafahamu vizuri sana jinsi ambavyo wanawake huchukuliwa na kila aina ya upepo, mara nyingi wanawake hufanya mambo sio kwa sababu ni mazuri au mabaya bali kwa lengo la kuridhisha nafsi zao. Sasa bila mwanaume ambaye angemsahihisha, ni makosa mangapi atafanya mwanamke katika kulea na yeye kuona yupo sahihi, na je, hayo makosa yatamwathiri mtoto kwa kiasi gani?

3. Mwanamke anaona kitu kama chura, ng'e au mdudu wa aina yoyote, anaruka na kupiga mayowe, na kuonyesha hofu na woga mkubwa, je, mtoto mdogo atajifunza nini? Mtoto hujifunza na kureact jinsi mzazi mlezi wake anavyofanya (hapa mtoto anajifunza kwa influence ya mazingira yanayomzunguka na kutoka kwa mama yake kama role model wake). Nimetolea mfano swala la wadudu, lakini yapo mengi ambayo hufanywa na wanawake kiasi cha kupanda athari hasi kwa watoto wa kiume, na hii ni tofauti kama baba angelikwepo kusahihisha baadhi ya tabia, maana mtoto wa kiume daima atafanya matendo na kuiga/kufuata kila anachofanya baba yake zaidi. Mimi mtoto wangu ana miaka michache, miwili na nusu, cha kustaajabisha huniiga kwa kila kitu, mpaka mama yake hucheka na kuniambia mwangalie mwanao, nikishika kitu naye anakuja tukishike wote, kama natembea unashngaa naye ananifuata kwa nyuma na kujaribu kutembea kama mimi, wakati mwingine labda najinyosha kwa kunyanyua mikono na yeye anafanya hivyohivyo. Kutokana na jinsi anavyoiga mimi nakuwa makini sana kwa kila nifanyacho mbele yake.

Biblia imesema kuwa mwanaume ni kichwa cha nyumba. Hii haina maana kuwa mwanaume anakuwa mtawala bali kuwa kiongozi na mfano kwa kila jambo jema – role model. Sasa nyumba isiyokuwa na mwanaume lazima iende kichwakichwa.

4. Mtoto aliyelelewa na mama tu, hujiuliza maisha yake yote maswali mengi sana, mfano kwa nini mimi sina baba? Ilikuwaje mama akaachana na baba? Kuna wakati mwingine hukumbwa na huzuni isiyo ya kawaida hasa katika umri wa ukuaji. Hujiona tofauti katika jamii kwa kutokuwa na baba wakati wenzao wanao. Wakati mwingine hukutana na masimango, matusi na kejeli kwa sababu tu hana baba au baba yake hajulikani. Mtoto kutokumjua baba yake ni tofauti sana na baba ambaye alikuwepo, labda baadaye akafariki kwa sababu fulani. Ndio maana katika jamii zetu, hata kama baba amefariki, utasikia maneno kama “nyumbani kwa marehemu/hayati/ fulani”, jina linalotumika kurefence nyumba ni la mwanaume hata kama amefariki.

5. Watoto waliolelewa na mama huiga tu, huathiriwa, na kurithi tabia nyingi sana za kike, mfano: kudevelop tabia ya kutaka “sympathy”, kama wafanyavyo wanawake, kuwa na hisia na reactions za kike, kama vile kuwa na uhitaji wa kupendwa badala ya wao kupenda, kutaka kubembelezwa, kukosa kujiamini kama ilivyo kwa wanawake walio wengi. Tabia za siku hizi wanazokuwa nazo wavulana kutokana na malezi hafifu ni kama vile kuvaa milegezo, kushindana kupost picha za mapozi mbalimbali na wanawake kwenye mitandao ya kijamii, na kuwa na viashiria na tabia zingine nyingi za kike, kama vile kujipamba/kujiremba, kuvaa hereni, kutoboa pua, kuvaa nguo/mavazi ya kike. Wengine hugeuka kuwa walevi kupindukia, kujiunga na makundi ya kihalifu kama ya wezi (kuwa wezi, vibaka), kuvuta bangi, kutumia madawa ya kulevya na pia kuwa mashoga au kuwa na tabia za kishoga, nk.

6. Licha ya wengi (namaanisha sio wote lakini wengi wao) wa single mothers kuwaonyesha watoto wao kama so “unique” na “exceptional” (hasa single mothers wa mijini, hutumia zaidi social media kama sehemu ya kuentertain watoto wao) ukilinganisha na watoto wengine, vilevile watoto wao ni “untouchable”, namaanisha nini?

- Umeshawahi kumgusa mtoto wa single mother, mfano kafanya kosa na wewe ni jirani ukaamua kumfinya? Je, reaction ya mama yake ilikuwaje? Alivyoenda kwa mama yake akilia au baada ya mama yake kuja na mtoto kumwambia, je, ulinusurika kufuatwa uliko na kusemwa, kutukanwa? Maneno kama haya ulinusurika nayo? Unamlisha, wewe inakuuma nini akifanya hivi? Wa kwako? Na matusi kedekede, tena bila kukuuliza kistaarabu ilikuwaje labda ukamchapa?

- Umeshawahi kuona single mother amevamia shule au mwalimu kisa mtoto wake amechapwa, kwa kufanya kosa? Je, maneno na kauli alizowavurumishia walimu, haikuwa almost Cosovo?

- Je, umeshawahi kushuhudia reaction ya single mother pale ambapo watoto wawili wamepigana, mmojawapo ni wa kwake na mwingine ni wa jirani? Je, hujawahi kushuhudia single mother akilipuka na kuvamia wazazi wa mtoto mwingine kwa matusi, wakati waliopigana ni watoto na huenda hata aliyeanzisha ugomvi ni mtoto wake? Mlipuko haukuwa zaidi ya huu

Image ?

Kama umeshawahi kushuhudia hayo, mtoto au watoto wake wanajifunza nini?

Okay, baadhi ya watu wanadhani tumeamua tu kujiandikia kuhusu single motherhood, well.

Kama single motherhood haina shida wala effect kwa watoto na jamii pia, yaani kama ingekuwa ni jambo la kawaida, kwa nini watu walio wengi waliolelewa na mama zao tu, huwa wachungu sana dhidi ya baba zao ambao aidha wanawafahamu au hawawafahamu lakini hawakuwalea? Naongea uongo? Soma hapa uelewe ninachosema: Tuliotelekezwa na baba zetu tukutane hapa
Disclaimer: maelezo yafuatayo sio yangu, unless stated otherwise.

Habari ya kwanza: (Soma original: Gillis Triplett - 10 Harmful Things Single Mothers Do To Ruin Their Sons Lives (Part 2))

“Let me start by saying, there are good single mothers in our society and I applaud those women. They work tirelessly, with little or no help, to see that their children are provided for and well rounded.

The sacrifices they make for their families cannot be measured in any lifetime. This clarion call is not about those women. This is about the numerous modern day single moms who set their sons on a sure path of rebellion, disrespect and dishonor.”

Am I blaming society’s ills on single mothers? No! Am I attacking or demonizing single mothers? A thousand times no! I am dealing with a critical issue that has devastated multiple generations. One that has not been properly dealt with for too long. I have watched this particular group of single mothers reek havoc and sow seeds of discord in the lives of countless children. I had one incident in which a woman, (I’ll call Racine ) was dating a man, she got pregnant by him and they moved in together.

Like many women who give themselves to dishonorable men, Racine assumed that she could change him and that he would eventually marry her. She was so convinced of her abilities to alter his conduct, that she got pregnant, AGAIN! You should know that Racine was in the church while this disgraceful chain of events took place. After their second child, her live-in boyfriend just waked up and left. He coldly and calculatedly abandoned her and both of their kids.

It is not secret that this is the norm for single women who get pregnant by their boyfriends. But like many women, Racine chose to ignore those irrefutable facts. She somehow believed her situation would be different than the countless single women who are left pregnant and alone every year. Before bolting, her enigmatic lover prepped his family, friends and co-workers not to divulge any information of his whereabouts to his ex.

For three months Racine pleaded with his family and friends to tell her what happened. After constantly listening to her forlorned cries, one of his family members couldn’t take it anymore. She broke down and told Racine the truth. Her Night In Pining Armour had dumped her and hurriedly married some bimbo. When Racine heard the heart traumatizing truth, she promptly joined the (BSMC), Bitter Single Mother’s Club. She turned into an angry and vengeful single mom.

Her means of getting revenge against her ex was to physically abuse both their children. She would do things such as force them to sit outside in the freezing cold for hours at a time. She would choke her older son, ( I’ll call Joseph) while swearing at him and cursing his father. Because of her physically and verbally abusive behavior, Joseph learned to hate females.

Because of how his mother abused him and his little brother, Joseph detests the female gender with an unforgiving passion. Like his mother had been drilling in his ears for years, he followed in the footsteps of his father. He got a female pregnant while in high school, but instead of abandoning her and baby like his dad, he married her. Not because he loved her, but to prove his mother wrong. Joseph had taken on the same vengeful and abusive spirit as his mom.

In less than two weeks after saying, “I do!” he physically assaulted his new bride. He has been abusing her ever since. Even at my behest, his wife refused to file charges. She felt as though she could change him. Their little girl will be 5-years-old in 2004 and Joseph has never held a conversation with her because of distrust and hatred of all females. The only things he has said to his daughter is, “Shut up! Didn’t I tell you… No! Sit down and, go get me a…”.

Joseph kicked her across the room one night when she attempted to stop him from physically assaulting her mother. Did you comprehend what you just read? You just read how generational curses are started. Even worse, Joseph’s daughter is a likely candidate to believe that all men are dogs and become an angry Black female.

What you are reading are not aberrations. These incidents happen everyday. I could share with you so many other cases and incidents such as the large number of single mothers who for various reasons refuse to divulge to their kids who their true biological father are. These women don’t realize how their callous insensitivity has damaged their children.

I realize that what I’m sharing may be painful and may open up some festering wounds. It may even spark some dissenting and harsh responses. However, until we openly deal with this issue by shining the Light of God’s Word upon it, healing can never come. And the devastating curse of misogynistic men and angry boys will continue.

Some of you will read this article and say, “What about the things the men are doing and why didn’t you mention how daughters are affected when they don’t have a dad?” I’ll deal with the dishonorable men, deadbeat dads and daughters in another session. I cannot cover all of life’s issues in one article. Right now, our focus is the ten harmful things certain single mothers do to ruin their son’s lives.

If you are a single mother, this is an opportunity for you to look in the mirror of life and ascertain that you are not setting your son up for manhood meltdown. If you answer “Yes” to any of these test questions, make no mistake about it, you are indoctrinating your son for failure. He will develop a corrupted view of manhood, so take these test questions serious.

1. Do You Poison Your Son’s Mind Against His Biological Father?

Some women knowingly and intentionally perform this evil scheme. Others do it unintentionally. While boys are young, this vengeful act seems harmless, but as they grow older, they develop bitterness against their fathers. This root of bitterness, (See Hebrews 12:15 and Romans 3:14) will manifest itself in other areas of these boy’s lives. They play out their parental distress by becoming overtly rebellious, joining gangs, committing crimes and engaging in other self-destructive activities such as domestic violence and homosexuality.

As Founder and CEO of Mastering Manhood, I constantly meet men who were turned against their biological father by their moms. I have listened to men tell how they thought about killing their dads or wanting to hurt him just to get even for being abandoned. In many cases, their dads did not abandon them. Some of these mothers refused to allow the child to interact with his father as a way to punish the boy’s father. These mothers were being plain evil by fueling poisonous lies of child abandonment.

If you are a single mother, don’t speak offensively about your child’s father to your child. Even if it is true! You may be angry at him for not marrying you or for breaking up with you, or for whatever reason. But you must understand; by poisoning your child against his dad, you are accomplishing two damnable feats. You are embedding:

A spirit of discord into your child’s heart.

A spirit of hatred and malice into your child’s heart.

2. Do You Instill In Your Son: “The All Men Are Dogs,” Mentality?

You may hate the father of your child. You may hate all men. You may feel justified in your malice because of how men have treated you. However, all men are not dogs! Good men do exist! A portion of the men who become dogs were trained to be that way by their disgruntled mothers. These boys listen to their moms speak hypercritically, denounce and condemn all men until they develop a disparaging complex about being a male.

Once those seeds are planted in their impressionable minds and hearts, these boys lose hope about being an honorable man. Their mother’s words become a prophetic utterance. Albeit a negative one. Single moms, you must find ways to encourage your son and put a stop to words and actions that dismantle his vision of being a decent man. All men are not dogs!

3. Do You Play The Dating Game?

As a single mother, you cannot afford to play the worldly dating game of love, sex and relationships. When you become a revolving door for hordes of males, you indoctrinate your son to systematically devalue and disrespect the female gender. By watching an assortment of males freely enter into and abruptly exit out of your life, your son learns firsthand how to become a player, pimp, baller and shot caller.

As he witnesses your failed relationships, tears of regret from your manifold sexual liaisons and learns how you were dumped, played, dismissed and disgraced at the hands of detestable males, his conscience becomes desensitized to the well being of all women. As you play the dating game, you persuade your son that males were called to be pimps.

As a single mother, if a man refuses to respect you as a woman and honor the fact that you have a child, he is not worthy of your companionship. You need to know that a man should not date you if he is not prepared emotionally, psychological, physically and financially to take on the responsibility of raising your child. It is an absolute waste of your time for you to date or court a man who:

Doesn’t want children.

Doesn’t like children.

Is averse to raising another man’s child.

Is not interested in getting married.

Has it made clear that his objective is to dishonor you sexually.

As a single mother of a boy, you are largely responsible for how your son will treat the next generation of women. Take that charge seriously. Don’t set your son up for sure relationship, marital and manhood meltdown. Set before him an example of honor, respect and virtue.

4. Do You Engage In The Sleepover Trap?

Time and time again, I meet single mothers who allow men to spend the night, move-in or do long-term layovers. When boys see their moms engaging in such shameful activity, they become indoctrinated to see women as sex objects, booty calls and casual sex partners. Especially when they catch mom in bed or on the couch with strange flesh.

5. Have You Made Your Son The Man of The House?

As cute as it may seem, your son IS NOT the man of the house. He is your child! Most single mothers will never understand the psychological damage they cause by anointing their sons to be the man of the house. By falsely convincing their boys that they are men, these single moms pigeonhole their adolescents into a pressure-based environment God never intended for them to be in.

Many of these undeveloped boys feel such emotional duress, that they resort to doing the unthinkable to meet their mom’s fanatical demands of manhood. These teenage boys freely talk about selling drugs, robbing people, car jacking and committing other crimes to take care of their household. It is not their household! Nor is it their responsibility. Never call or christen your son to be the man of YOUR HOUSE! For the love of God, he is not YOUR HUSBAND, he is YOUR CHILD!

6. Are You Feminizing Your Son?

To feminize means to cause a male to assume feminine characteristics. The way single mothers feminize their sons is by doing things such as:

Having him with them while they go shopping for women’s clothing.

Taking him to the beauty salons while they get their hair and nails done.

Having him in the bathroom and bedroom while they primp and pamper.

Buying him feminine toys such as girl’s bikes, dolls, etc.

Providing him with feminine clothes, makeup or accessories.

Involving him in feminine activities.

Calling him cute, primping and pampering him.

Piercing his ears and giving him earrings.

Belittling or minimizing male-female gender differences.

Bringing feminine or homosexual males into his life or presence.

Single mothers who allow or inspire their sons to engage in activities that cause him to be feminized are partly responsible for the mass number of passive and effeminate males in our society.

7. Are You Training Him To Be a Man?

Get this irrefutable truth engrained into your mind and heart as expediently as possible. A woman cannot train a boy to be a man any more than a man can train a girl to become a virtuous woman. A man has his limits when it comes to raising and training girls.

He can read a thousand books and attend countless lectures, but he will never be able to fully understand or explain to a girl what PMS is, a woman’s hormones or what to expect when she gets pregnant. Most men won’t even attempt to broach subjects such as a woman’s broad range of emotions and feelings, her weight or looks, tampons or why women break out and cry at certain events and situations. It takes a woman to talk to a girl about those critical facets of her life.

In the same token, as a woman, there is only so much that you can instill in or teach a boy. Accept that fact and do not try to cross your boundaries. There are certain things that boys need psychologically, spiritually, mentally and emotionally, that you as a woman will never be able to impart to them. You will never understand or be able to help your son understand:

Masculinity.

Testosterones.

The male ego.

A man’s penis.

Why men are territorial.

Why men love a good battle.

A man’s need to conquer.

A boy’s rites of passage.

Like most females, you will spend an eternity scratching your head trying to understand why men gravitate towards brute competition. Since you will never comprehend these masculine things, you will never be able to properly communicate them to any male. Including your son!

SO STOP TRYING!

Leave the manhood training to the men!

8. Are You Emasculating Your Son?

Some single mothers ruin their sons by emasculating them. To emasculate means: 1. To castrate. 2. To deprive of strength or vigor and to weaken. These single moms accomplish this catastrophic emasculation process by:

Impeding the boy’s natural gravitation towards things that boys love to do, (i.e. rough sports and aggressive plays).

By constantly scolding, condemning, yelling and screaming at him. This commonly used tactic erodes a boy’s self-confidence.

By being a domineering or overbearing mother. These single moms not only bruise their son’s male ego, but they mutilate his male identity and condition him to be a cowardly passive male.

Constantly seeing his mother crying or throwing temper tantrums. When a boy sees these seemingly harmless emotional outbursts, he becomes conditioned to respond to the issues and pressures of life in the same manner as his mom.

9. Have You Made Your Son Into a Momma’s Boy?

I constantly meet single mothers who delight in the fact that they are raising momma’s boys. Let me put things into proper perspective by first defining what a momma’s boy is. He has been raised and taken care of by his mother. She has dressed him, cooked his meals, did his laundry, put a roof over his head, babied and spoiled him since birth and still does so… although he is a grown man.

She has come to his rescue, fought his battles, spoken up for him, lied for him, blamed others for his sins and protected him from harm and still does so… although he is a grown man. She has bought his shoes and socks, paid his bills, bought his groceries and got him out of jail and other jams and still does so… although he is a grown man.

In their strange and contorted mother-son relationship, neither one of them is willing to cut their now grotesque umbilical cord. By the way their mothers have raised them, these males have been indoctrinated to believe that women exist for the sole purpose of serving and taking care of men. They have no problem with moving in with a female and sitting at home, watching television while their wives, girlfriends and baby’s mothers work two and three jobs to pay the bills.

Their understanding is, “What’s the problem? That’s what my mom did and that’s what women are supposed to do!” When it comes to marriage and relationships, I advise all women to avoid momma’s boys. One way or another, these males are going to cause you heartache. Especially if you attempt to snip their umbilical cord. Single mothers who truly care about their son’s future will not raise their sons to be momma’s boys!

10. Do You Avoid Finding Strong Male Role Models For Your Son?

By having no strong male role models in their lives, boys are prone to gravitate towards:

Having a distorted sense of self-worth.

Feeling irrelevant in our society.

Rebelling against authority.

Being passive males.

Having a deep sense of vulnerability.

Wondering about their legacy.

Not respecting the female gender.

Not understanding, respecting or embracing manhood.

Not understanding, respecting or embracing marriage.

Not understanding, respecting or embracing fatherhood.

As they reach adulthood, these harmful traits make men become societal undesirables. As a single mom, you must make seeking out strong godly male role models for your son a top priority. Start with your child’s father. The only reasons you should keep your son away from his biological father is because his dad:

Is an alcoholic, drug user or drug dealer.

Is wanted by the police or other authorities.

Has harmful mental or other psychological issues.

Is a thug or is involved in other criminal activity.

Is an abuser, molester or perpetrator of domestic violence.

Has threatened physical harm or violence.

Poses a safety threat to you or child in some other fashion.

Barring none of the above, you should not prevent your child’s from interacting with his dad. After the child’s biological father, look at the men in your family, church, after school programs and organizations that are passionate about raising boys. Be clear on this irrefutable fact: your son needs honorable men in his life if he is going to properly transition from boyhood to manhood.

If he has no godly strong male role models, your son will go from boyhood to adulthood, while skipping manhood. Don’t deceive yourself into believing that you can raise your son without men, you cannot.

I leave all single mothers with this final charge.

Malachi 4:6

And he shall turn the heart of the fathers to the children, and the heart of the children to their fathers, lest I come and smite the earth with a curse.

Did you take note of what the Lord is doing? He is restoring the hearts of the fathers to their children and the hearts of the children to their fathers. Don’t become a stumbling block against this powerful move of God. If you have bitterness, unforgiveness or hatred in your heart toward the child’s father or toward the entire male gender, let it go!

If you are hiding a dark secret such as: paternity fraud, you gave birth to a child by a married man or you really don’t know who the father is. It may be painful to come clean, but you must. Lying to your family, deceiving your friends and defrauding others only exasperates the matter. In the end, your deception will come back to haunt you. Most likely when you least likely expect it.

Source: Gillis Triplett - 10 Harmful Things Single Mothers Do To Ruin Their Sons Lives (Part 2)

Habari ya pili:

Mk 2:5 NKJV

Old Testament fathers placed their hands on their children’s heads and spoke certain promises over them, believing the blessing of God can be passed from one generation to another. It’s why “Isaac called Jacob, and blessed him” (Ge 28:1). It’s why Jacob refused to die before blessing his grandchildren (See Ge 48:14). Children without caring, involved fathers often spend their whole lives searching for a sense of identity and self-worth. Increasingly, they’re finding them in the company of rebellious peer groups, street gangs, drug dealers, and on social media and the Internet. And we see the results of it all around us. Instead of fulfilling their God-given destiny, these kids become defined and labelled by a lifestyle such as “runaway,” “convict,” “troublemaker,” “addict.”

Before Tupac Shakur, the rap artist known for his violent song lyrics, was gunned down in 1996, he said, “I never knew my real father. I know for a fact that if I’d had a father, I’d have some discipline [and] more confidence.

Your mother can calm you down, reassure you…But you need a man to teach you how to be a man.” When a man was brought to Jesus for healing, before He forgave and healed him, He called him “son.” He didn’t say, “You’ve got to clean up your act,” or “You must do things My way.” No, He established a relationship with the man by showing him love and acceptance. And as a father you need to do the same. Loving and accepting your kids as they are, without conditions and condemnation, is the greatest gift you can give them.

Source: Undisclosed

⁠⁠⁠⁠
1
1 Image
Post Reply

Return to “Care & Concern, Family, Friendship and Relationship”

  • Information
  • Who is online

    Users browsing this forum: No registered users and 0 guests